Mwigizaji Wema Sepetu december 2012 alisema
miongoni mwa mambo aliyotamani kuyafanikisha 2012 na hayakufanikiwa ni
kufungua ofisi yake mpya ambayo itahusika pia na ishu za movie kwa
asilimia kubwa, 2013 ndio hii na mipango yake imekamilika.
Kwa sasa unaweza kutazama
picha za hii ofisi yake mpya lakini taarifa nyingine ikufikie kwamba
siku yoyote kwenye wiki hii inayoanza kesho, Wema ataitambulisha ofisi
yake mpya ambapo jovinbachwa.blogspot.com itakuepo eneo la tukio, endelea kuwa
karibu mtu wangu.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Endelea kufatilia blog hii ili uweze kupata muendelezo wa habari hii
No comments:
Post a Comment