facebook likes

Monday, February 18, 2013

KATUNI PICHA 5 ZA VITUKO KUTOKA FACEBOOK


Eti jamaa wamegundua kwamba wanawake wengi ndio huwa wanasababisha ajali wakiwa wanaongea pembeni ya dereva so hii seatbelt ya kufunga mdomo wanawake imesaidia kupunguza ajali kwa asilimia 45…. Doooh!

.

.

.

Salute kwa wabunifu wote waliochora hizi katuni, i wish ningejua ni kina nani.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...