facebook likes

Monday, February 18, 2013

Lil Wayne Signs his daughter, Reginae Carter to Young Money

The YMCMB monster, Lil Wayne amempa Mtoto wake wa kike, Reginae Carter mkataba wa kurekodi Chini ya Label ya Young Money. Mtoto huyo mwenye miaka 14 ndio mtoto wa kwanza wa Lil wayne ambaye alimpata akiwa na miaka 16.

Reginae Carter alikuwa kwenye kundi la The OMG Girls kama msanii mpaka mwaka 2010 alipojitoa na kwa sasa atakuwa akifanya kazi kama solo artist. The Young Money President, Mack Maine ali-announce mpango mzima.

Reginae Carter ni mtoto wa Msanii na Mwigizaji Toya Wright. Mtandao wa HipHopDX umetaja wasanii wengine wapya chini ya label hiyo ni ambao ni PJ Morton, Torion Sellers na We the Future.


No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...