Nakumbuka video ya mwisho
kutoka ya 2 FACE yalisikika pia maneno ya lugha mbalimbali za mataifa
ikiwemo Tanzania ambapo 2 Face alisema ‘asante sana’ na ikawa ni moja ya
video zilizotazamwa sana Africa, this time amekuja na kitu kingine
ambacho kimefanywa na kampuni ile ile iliyorekodi video mbili za Ay wa
Tanzania, ‘Party zone’ na ‘Money‘
No comments:
Post a Comment