facebook likes

Thursday, October 10, 2013

UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MAGUFULI

 Magari yakirekebisha uzito wa  mizigo baada ya kupimwa katika Kituo cha Mizani cha Mikese Mkoani Morogoro
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....
Magari yakiendelea kupimwa katika Kituo cha Mizani cha Kibaha mkoani Pwani
 Gari likiondoka baada ya kupimwa katika mzani wa barabarani likiwa limezingatia ya uzito uliowekwa kisheria
 Upimaji ukiendelea Kibaha
 Barabara ikiwa imebonyea kutokana na uharibifu unaotokana na magari yaliyozidisha uzito zaidi ya viwango vilivyowekwa kisheria.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...