facebook likes

Sunday, September 22, 2013

HAPPINESS WATIMANYWA ASHINDA TAJI LA REDD'S MISS TANZANIA 2013 MLIMANI CITY

Mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa katikati akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi usiku huu kushoto ni pili Latifah Mohamed na kulia ni mshindi wa tatu Clara Bayo.

ANGALIA PICHA ZAIDI....

Warembo waliobahatika kuingia kumi bora

Tano bora ya Redd's Miss Tanzania 2013




Hii ndio tano bora ya Redd's Miss Tanzania 2013.  Warembo hao kutoka kushoto ni Happiness Watimanywa (Miss Photogenic), Elizabeth Pretty, Clara Bayo (Miss Sports Women), Lucy Tomeka na Latifa Mohamed.


Onyesho la Redd's Miss Tanzania 2013 Live kutoka Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam

Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakiwa jukwaani

Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakifungua shindano la mwaka huu kwa kuonyesha ufundi wao wa kucheza muziki. Shindano la mwaka huu ambalo limedhaminiwa na kampuni ya vinywaji Tanzania.Tanzania Breweries Limited kupitia kinywaji cha Redds limefanyikia katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-salaam. Jumla ya warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali,vyuo nk wameshiriki.

Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakipita jukwaani na mavazi ya aina mbali mbali wakati wa Onyesho la Taifa Redd's Miss Tanzania 2013

Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa Kizazi kipya hapa nchini,Lady Jay Dee akitoa burudani kwenye Onyesho la Redd's Miss Tanzania 2013,

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...