facebook likes

Monday, August 26, 2013

Balozi wa Kenya Amkabidhi Rais Kikwete Kamusi ya Istilahi za Kidiplomasia

8E9U6723

Balozi wa Kenya nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Mutinda Mutiso akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Kamusi ya Istilahi za Kidiplomasia(Diplomatic Terminologies Dictionary) wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini Tanzania mwishoni mwa wiki.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...