facebook likes

Monday, August 26, 2013

Meek Mill wa MMG amualika Ice Prince wa Nigeria ku-perform pamoja naye ndani ya U.S.A


Baada ya kushinda tuzo ya Best African act kwenye BET awards, kumefungua njia nyingi za Ice Prince ambaye anawakilisha Nigeria. 
SOMA ZAIDI..........
Meek Mell msanii ambaye ni mshirika wa karibu na mkali wa FIesta 2012 Rick Ross, amempa mualiko Ice Prince wa kwenda kwenye jiji la Philadelphia ku-perform kwenye jukwaa moja ambalo litashambuliwa na mastaa kibao wakiwemo kutoka MMG.
Tarehe 30/8 kutakuwa na tamasha ambalo litawakutanisha watu mashuhuri tofauti kutoka kwenye michezo na muziki ambapo ndipo Ice Prince ataperform mbele yao.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...