facebook likes

Thursday, February 7, 2013

MTOTO WA MIAKA 8 APATA MIMBA, AJIFUNGUA SALAMA


Pregnant ... girl, 9, gives birth to baby
BINTI mmoja nchini Mexico alijikuta akipata ujauzito akiwa katika umri wa miaka 8. Linaandika gazeti la The Sun la Uingereza.
Binti huyo ambaye sasa ana miaka 9 aliyetajwa kwa jina moja tu la Dafne amejifungua mtoto wa kike katika jimbo la Jalisco, Mexico.
Baba wa mtoto huyo aliyezaliwa, ametajwa kuwa ni kijana mwenye umri wa miaka 17 ambaye amekimbia na hadi sasa hajulikani alipo.
Mama wa binti huyo, Jorge Villasenor amesema wanaendelea kumtafuta kijana huyo ili kupata maelezo ya kina kwa vile binti amesema haelewi ni nini kilichotendeka.
Mama huyo amsema hii ni kesi ya ubakaji au ya unyanyasaji watoto.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...