facebook likes

Thursday, February 7, 2013

TANZANIA YAICHAPA CAMEROON 1-0


 Kikosi cha timu ya Tanzania.  (Picha na Dande Junior wa Habari Mseto blog)
 Wachezaji wa Taifa Stars wakisalimiana na wenzao wa Cameroon.
 Kikosi cha timu ya Cameroon kikiwa katika picha ya pamoja.
Nahoodha wa Taifa Stars, Juma kaseja (wa pili kushoto), nahodha wa Cameroon , Pierre Wome (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo wao uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
 Beki wa timu ya taifa ya Tanzania, Erasto Nyoni akijaribu kumzuia kiungo wa pembeni wa Cameroon, Bedimo Henri wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samata akimtoka beki wa kushoto wa timu ya Cameroon, Benoitte Assou-Ekotto  wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Tanzania imeshinda 1-0.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...