facebook likes

Tuesday, August 13, 2013

KUTOKA KWA FEZA KESSY WA BBA KUJA KWA WATANZANIA WOTE

374442_500432656704965_690117850_n
Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania hatimaye baada ya kutoka kwenye jumba la Big brother,ametumia muda wake kutoa shukrani zake kwa watu wote ambao walimpa support muda wote ambao alikuwa ndani ya BBA.
....SOMA ZAIDI....Feza ambaye alitoka baada ya kupata kura chache dhidi ya Cleo na Dillish,kwenye ukurasa wake wa facebook aliandika “I’m almost speechless thank you so much for your support guys.It means a lot.Mad Love. I’m forever grateful”
feza

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...