David Beckham amestaafu kucheza soka
baada ya miaka 20 ya kucheza mchezo huo. Soon baada ya kuweka rekodi ya
kuvaa medali ya nne katika ligi kubwa nne tofauti duniani akiwa na
Saint-Germain, nahodha huyu wa zamani wa England ametangaza rasmi
kustaafu soka.
This latest title was the tenth of his
career katika nchi nne, makombe aliyoshinda na Manchester United ya
Premier League, moja kwenye La Liga na Real Madrid and the two he earned
in MLS with the Los Angeles Galaxy. Beckham ameweza kuichezea England
kwenye michezo 115, na aliiongoza nchi yake katika two World Cups
(appeared in three) pamoja na European Championship.
Pamoja na uamuzi huu wa kustaafu, but
don't expect him to fade into the sunset, unless it's a fabricated one
with cameras rolling and a director yelling 'Action!' Beckham ataendelea
kubaki kwenye spotlight pamoja na kuendelea kuwa mmoja wacheza soka
watakaokuwa wanaingiza mkwanja mrefu huko mbeleni.
Last year he made $50.6 million, ambazo ni $6.5 million ndizo zilizotokana na mashahara wake, akishika nafasi ya kwanza katika listi ya Forbes ya wanasoka wanaolipwa fedha nyingi. (In fact, so little has salary had an impact on him, kiasi kwamba katika dili lake na PSG, Beckham opted to donate his salary to a children's charity.) Kiasi kilichobakia cha $44 million zilitokana na endorsements deals — zaidi ya $33 million kutoka kwenye deals with Adidas , Breitling, Coty, H&M , na Sainsbury, mikataba yote itaendelea kwa miaka kadhaa mbele.

Dili mpya zinaohusiana na soka
alizosaini miezi mitano iliyopita itasaidia kutunisha zaidi mfuko wake.
In March, alisaini dili na kuwa Chinese Super League to become its first
global soccer ambassador katika juhudi ya kuipromoti na kuisafisha
image ya soka la nchi hiyo baada ya kukumbwa na match-fixing scandal.
The multi-year, multimillion deal litamfanya Beckham kusafiri mara kwa
mara kwenda China kama ilivyotokea wiki kadhaa zilizopita pamoja na
kucheza mechi za hisani.
Pia hivi karibuni mwezi wa nne, Becks
alisaini mkataba wa kuwa balozi wa BSkyB, the British satellite TV
provider - kampuni ambayo billionea Rupert Murdoch anamiliki hisa,
Beckham atakuwa akionekana kwenye matangazo ya kuitangaza network hiyo
na kushawishi ushiriki wa vijana katika soka ndani ya UK na Ireland. 's
News Corpowns a stake, to appear in ads to promote the network and
encourage youth participation in soccer across the UK and Ireland. Dili
hilo litamuingizia Beckham kiasi cha $30 million katika kipindi cha
miaka 5 years.
As a result, Beckham ataendelea
kutengeneza kiasi kisichpungua $40 million kwa mwaka huu na ujao, kiasi
kinachotosha kabisa kuwa miongoni mwa top three highest-paid soccer
stars kwa pamoja na Cristiano Ronaldo na mchezaji bora wa sasa wa dunia
Lionel Messi.
Pia hilo linamuweka kwenye category ya aina yake ya wachezaji waliostaafu wanaowazidi wachezaji wanaocheza mchezo aina yao kwa kuingiza fedha nyingi. Michael Jordan ndio kiboko yao kwenye listi hiyo, bado anatengeneza kiasi kisichopungua $80 million a year.

Kama Mike, Becks baada ya kutengeneza
headlines na kustaafu ameanza kuhusishwa na kutaka kurudi kwenye soka,
lakini safari hii sio kucheza wala ukocha bali kumiliki timu ya soka.
Hivi karibuni Becks kwa kushirikiana na Billionea wa Bolivia Marcelo
Claure walitembea huko Miami wakiangalia namna wanavyoweza kuwekeza ligi
ya MLS kwa kumiliki timu ya soka ndani ya Miami.
PSG pia wamekaririwa wakisema wana
matumaini ya kumfanya Beckham kuwa balozi wao baada ya kustaafu soka
akiwa na klabu hiyo. Majadiliano juu ya mpango huo na klabu hiyo
inayomilikiwa na Qatar Sport Investment ya serikali ya Qatar
yameshaanza.
"Kuwa na Beckham miongoni mwetu,
uwanjani au nje ya uwanja, ni muhimu sana," PSG president Nasser
Al-Khelaifi alikaririwa nagazeti la Ufaransa, L'Equipe. "Sie tupo tayari
kufanya nae kazi, sasa maamuzi yamebaki juu yake."
Yote haya yanaonyesha kwa namna
ambavyo alivyo na high demand, baada ya kustaafu Beckham ataendelea
kutunisha mfuko na kuendelea kuwasumbua akina Ronaldo na Messi kwenye
listi ya wanasoka wanaoingiza fedha nyingi annually.
MAKALA KWA HISANI YA BAABKUBWA MAGAZINE
No comments:
Post a Comment