
Mshindi wa mechi: Mfungaji wa bao pekee la Chelsea, Romelu Lukaku kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Singha all-Stars mjini Bangkok, kujiandaa na msimu mpya akishangilia na chini akipiga penalti hiyo. Huo ulikuwa mchezaji wa kwanza kwa Jose Mourinho tangu arejee Stamford Bridge akianza na ushindi dhidi ya timu iliyoifunga Manchester United 1-0.


Ujio wa pili: Jose Mourinho amerejea Chelsea kwa ushindi

Back in the game: Mourinho said after the match that Wayne Rooney is a definite Chelsea transfer target
Chelsea ilichezesha vikosi viwili tofauti kila kipindi katika mchezo huo, kipindi cha kwanza: Cech, Wallace, Kalas, Terry (c), Cole, Lampard, Essien, De Bruyne, Piazon, Schurrle na Lukaku
Kipindi cha pili: Blackman, Ivanovic, Cahill, Chalobah, Bertrand, Van Ginkel, Ramires, Moses, De Bruyne (Traore 78), Hazard na Ba

Mchezaji mpya wa Chelsea, Andre Schurrle akigombea mpira na mchezaji wa Singha All-Stars, Lazarus Kaimbi

Ashley Cole akitafuta mbinu za kumtoka Sho Shimoji
RATIBA YA CHELSEA MECHI ZA KUJIANDAA NA MSIMU
Julai 17 na Singha All-Stars (Uwanja wa Rajamangala, Bangkok - Kombe la miaka ya 80 ya Singha) wameshinda 1-0
Julai 21 na Malaysia XI (Kuala Lumpur - Kombe la BNI 2013) Saa 8.45 mchana
Julai 25 na BNI Indonesia All-Stars (Uwanja wa Taifa wa Gelora Bung Karno, Jakarta) Saa 8 mchana
Agosti 2 na Inter Milan (Uwanja wa Lucas Oil, Indianapolis - Kombe la Mabingwa wa KImataifa wa Guinness) saa 7mchana
No comments:
Post a Comment