facebook likes

Saturday, October 12, 2013

MANYAMA UZEMBE ALIYETAKA KUJIUA KWA KUCHUKIA UNENE SASA NI KIDUME KWELI BAADA YA MIEZI 18 TU YA KUPIGA MATIZI YA UHAKIKA


Mike Waudby pictured at 33 stone
Mike says that losing weight has given him a life and is urging others not to get into the same situation he found himself in

kabla na baada: kushoto, mike wa manyama uzembe na kulia mike bwana misuli
SOMA ZAIDI..............

kijana aliyekuwa bonge sana kiasi cha kutaka kujiua kwa kuchukia mwili wake wa unene amefanikiwa kupunguza uzito wa manyama uzembe hadi sasa kuitwa 'bwana misuli'.

Mike Waudby alikuwa bonge akiwa na umri wa miaka 21 na alipofikisha umri wa miaka 29 akaamua kupambana na mwili huo kwa mazoezi makali gym.
Morbidly ambaye wengi wanamuita Mike alikuwa anakerwa sana na manyama uzembe yake kiasi cha kujiovedozi kuounguza maumivu. 
Lost control: Mike weighed so much that he lived his life slumped in a chair drinking alcohol he ordered off the internet
Alishindwa kujimudu: Mike alikuwa bonge manyama uzembe kiasi hiki na kuishia kulewa pombe alizokuwa anaagiza kwa intaneti kupunguza mawazo
Toned: The personal trainer from Hull, Yorks lost 18 stone over 18 months and is now nicknamed Mr Muscles
Hatimaye kidume: Mwalimu mtaalamu wa mazoezi kutoka Hull, Yorks amefanikiwa kuondoa umbo la manyama uzembe ndani ya miezi 18 na sasa anaitwa Bwana Misuli

Lakini baada ya kuepuka kutaka kujua Mike, kutoka Hull East Yorks,tangu wakati huo amefanikiwa kupunguza zaidi ya nusu mwili wake na uzito kwa ujumla kwa mazoezi.
Sasa mwalimu mtaalamu wa mazoezi anayekwenda kwa jina la utani Bwana Misuli, Mike, akiwa na umri wa miaka 31, anawataka wengine kutofikia katika hatua aliyokuwa yeye ya umanyama uzembe. Dawa ni mazoezi na kuacha uvivu. 
Mike Waudby pictured at 33 stone
Mike says that losing weight has given him a life and is urging others not to get into the same situation he found himself in
Kabla na baada: Kushoto, Mike wa manyama uzembe na kulia Mike Bwana Misuli
Mike Waudy at 13 stone
Mike has now qualified as a personal trainer
Mike, sasa kijana mwenye mvuto wa kiume, mweny misuli na nguvu

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...