
Xiaolian Ameoteshwa pua kwenye paji la uso wake baada ya wataalam kushindwa kuiponya ile iliyoharibika baada ya ajali.
Utengenezaji wa pua hiyo mpya, umefanywa kwa kuchukua sehemu ya mbavu za binadamu kwa kukatwa kwa muundo wa pua.
Madaktari
wamesema mwanaume huyo anaendelea vizuri na zoezi la kuipandikiza pua
hiyo mpya eneo la pua ya zamani utafanyika hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment