facebook likes

Thursday, September 26, 2013

CHRISTINA MILIAN AVALISHWA PETE YA UCHUMBA


Muimbaji Christina Milian ameonesha pete ya uchumba aliyovalishwa na mpenziwe mpya Jas Prince, na akaliambia jarida la People kuwa "Hakika nimezama kwenye penzi la mtu niko katika mahusiano yenye furaha sana, mahusiano madhubuti jambo ambalo ni kubwa, na ananisapoti sana hakika tunaangalia mbele

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...