facebook likes

Monday, September 2, 2013

NDEGE ZAGONGANA HUKO ZANZIBAR.

6dd4f8fa946792bc2e8513593202a03e-2Ndege ya Oman air na Ethiopian airlines Jumapili jioni ziligongana katika kiwanja cha ndege cha Zanzibar wakati zikijitayarisha kuruka, ila ajali hii haikuwa kubwa, wakati hayo yakiendelea abiria wa Ethiopian airline walishushwa na kuwekwa kwenye sehemu ya mapumziko.
SOMA ZAIDI...............

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...