Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam
SOMA ZAIDI........... kuhusu hatua ya kuwavua madaraka Maafisa wanne wa Jeshi la polisi nchini na kumsimamisha kazi mmoja kutokana na kukiuka maadili na taratibu za Jeshi la Polisi kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Bw. Pereira Silima.
No comments:
Post a Comment