facebook likes

Friday, August 23, 2013

HII NDIO COVER YA ALBUM MPYA YA DRAKE

Msanii ambaye ni mzaliwa wa Canada lakini kwasasa anaishi Marekani kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki “Drake” ameachia artwork cover ya album yake mpya “Nothing Was the Same”.
SOMA ZAIDI............

The album is due Sept. 24, with singles “Started From the Bottom” and “Hold On, We’re Going Home” advancing the set.
Drake ameonekana kumuiga lil wayne kuweka sura ya mtoto kwenye album cover kama jinsi Wayne alivyofanya kwenye carter III na Carter IV.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...