facebook likes

Friday, August 23, 2013

WATU SABA WANUSURIKA KWA AJALI YA NDEGE ILIYOTUA ZIWA MANYARA

Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara 
SOMA ZAIDI..........baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani. Ndege hiyo ilikuwa na abiria sita na rubani mmoja ambapo wote wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Seliani mjini Arusha kwa matibabu.

Chanzo: ITV

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...