facebook likes

Friday, August 23, 2013

REAL MADRID WAANZA KUUZA JEZI YA GARETH BALE KWENYE MTANDAO WAO

Baada ya jana kuripotiwa kwamba jezi ya Real Madrid namba 11 yenye jina la Gareth Bale imekuwa inauzwa kwenye maduka mengi barani ulaya
SOMA ZAIDI................- leo hii klabu ya Real Madrid kupitia mtandao wake rasmi imeanza kuuza jezi namba 11 kwa kiasi cha £53. Hatua inakuja baada ya mkurugenzi wa ufundi wa Spurs Franco Baldini akiripotiwa kuwa jijini Madrid kukamilisha taratibu za kumuuuza Bale kwa ada ya uhamisho ya £94m.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...