facebook likes

Thursday, September 5, 2013

SHINDANO JIPYA LA TANZANIA TOP MODEL LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

1
Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam  na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi, Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi  wa Kamati ya Tanzania Top Model, na kulia ni Bw. Khamsin.
SOMA ZAIDI..............
 2 
Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge. 4 
Wanamitindo mbalimbali wakipita mbele ya wageni waalikwa wakatik wa uzinduzi huo 5 6 7 8Wanamitindo hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo 9 
Wadau wakipata picha 10 
Wadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo 11 
MC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hilo 12 
Baadhi ya wanakamati wakijitambulisha 13 
Wadau wakifuatilia 14 
Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...