Nelly pamoja na Lebron James wameungana pamoja katika kifanya 'biz', ambapo mastaa hawa wametoa brand ya sneakers ambazo zimepatiwa jina "Must Be The Honey".

SOMA ZAIDI.....Sneakerz/Raba/Viatu hivi ambavyo ni toleo jipya kabisa, vimetengenezwa katika muundo maudhui na rangi ya asali katika kusapoti kaulimbiu yake ya "Must Be The Honey".

Viatu hivi ambavyo tayari vimeshaanza kutoka, vitatengenezwa ama vitatolewa pea 250 tu, na mpaka sasa watu maarufu kama vile Bow Wow na Nick Canon tayari wameshajipatia pea zao.

No comments:
Post a Comment