facebook likes

Thursday, August 29, 2013

TUPIGIE KURA YAKO ILI TUWEZE KUIBUKA WASHINDI KWENYE MASHINDANO YA BLOGU,SOMA MAELEKEZO YOTE HAPA


Wasomaji na wafuatiliaji wa blog ya jovinbachwa.blogspot.com tunapenda kuwafahamisha kuwa Blogu yetu itashiriki katika shindano la blog Katika vipengele Vifuatavyo
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog
 Jinsi ya kufanya
1. Nenda sehemu ya kuandika ujumbe (email), yaani sehemu ya Email yako unapo compose kisha Andika 
Subject:- http://jovinbachwa.blogspot.com/
Sehemu ya kuandika ujumbe/Post:-  Andika hivi vipengele
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

  
Kwa maelezo zaidi na vipengele vingine ingia/bofyatanzanianblogawards

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja
 

Kwa mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 
 yaani

          
  jovinbachwa.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hii ishirikishwe
 
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa 

nomination@bloggersassociationoftanzania.com
     au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 02/9/2013 saa 11:59pm saa za Afrika mashariki

  
:::::UKIWA KAMA MPENZI NA MFUATILIAJI WA BLOGU YETU HII TUNAOMBA UTUME MARA NYINGI UWEZAVYO ILI TUWEZE KUINGIA KWENYE MASHINDANO HAYA NA KUIBUKA WASHINDI,TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...