facebook likes

Wednesday, August 14, 2013

MAJAMBAZI WAPIGWA RISASI KWENYE KITUO CHA MAFUTA CHA GBP MWANZA.TUNAOMBA RADHI KWA PICHA KWANI ZINATISHA.

Mmoja wa majambazi waliouawa jana kwenye kituo cha mafuta GBP Mwanza jana majira ya saa 2 usiku.
....SOMA ZAIDI......

Tumezipata taharifa hizi kutokwa kwa moja wa wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha GBP Mwanza ambapo majambazi hawa walijalibu kuvamia ili kuiba.Ndugu Mohamed Sleyim Naddabi alisema,

"Jambazi hili lilikuwa limeshika panga.Mwenzake aliyekuwa na SMG alipoanguka huyu akaelekea mbio kuichukua lakini akapambana na risasi ya polisi naye akagalagala chini."

Jambazi jingine lililouliwa jana likitaka kupora sheli ya GBP Mwanza .
Ndugu aliendelea kusema."Hilo hapo pichani lilikuwa na SMG.Lilitoka kwenye gari likapiga risasi juu na kuanza kuelekea alipo Mhudumu wa pampu.Kidogo lilisita baada ya kuona kushoto kwake mita kama 15 hivi kuna mtu mwenye silaha ambaye ni polisi aliyevaa kiraia.Lilipotaka kumlenga yule polisi alifyatua risasi iliyolenga sahihi kabisa na kichwa chake!"
 
Jambazi jingine lililouliwa jana likitaka kupora sheli ya GBP Mwanza .

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...