facebook likes

Friday, September 27, 2013

SAMSUNG GALAXY TAB 3 NI ZAIDI YA SIMU

 

Samsung hivi karibuni imezindua Galaxy Tab 3,Galaxy tab 3 ni imeonekana kuwa na  kasi zaidi kuliko Galaxy tab nyingine , Galaxy tab 3 ina baadhi ya vipengele vipya ambavyo havijawahi kuwekwa katika  Galaxy Tab nyingine, Ndani ya Galaxy tab unaweza kupata mambo Mengi zaidi kama Michezo mbalimbali, 3D graphics na mambo mengi zaidi
SOMA ZAIDI....
nimeona ajabu kwa video ya Dakika 2 inayoelezea Mifumo Mbalimbali iliyo katika Tab hiyo, hivyo unaweza toa Maoni yako kuhusu Video Hii hapo chini
Samsung Galaxy Tab 3 211

Samsung Galaxy Tab 3 211 specifications
  • 7-inch (1024×600) TFT capacitive touch screen display
  • 1.2 GHz dual-core processor
  • Android 4.1 (Jelly Bean)
  • 3MP rear camera
  • 1.3MP front-facing camera
  • 9.9mm thick and weighs 306g
  • 1GB RAM, 16GB internal memory, expandable memory up to 32GB with micro SD
  • 3G HSPA+,WiFi a/b/g/n (2.4/5GHz), WiFi Channel Bonding, WiFi Direct, Bluetooth 3.0 and GPS + GLONASS
  • 4,000 mAh battery
    .

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...