facebook likes

Monday, September 23, 2013

DAYNA NYANGE, IZZO B, PNC WANUSURIKA KATIKA AJALI MBAYA


Gari iliyopata ajali
ANGALIA PICHA ZAIDI....
Wasanii wa tasnia ya mziki wa bongo Fleva, Dayna Nyange, PNC, Izzo B na wasanii wengine, leo wamenusurika kufya kufwatia gari waliyokuwa wakisafilia kupata ajali maeneo ya Buhongwa Mwanza, kwa mujibu wa msanii Dayana Nyange amesema, walikuwa wakitojkea kwenye show Geita iliyoandaliwa na Radio Free Africa ndipo walipofika maeneo ya Buhongwa gari yao aina ya Coasta, kapata ajali na msanii Filbert Kabago, amejeruhiwa.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...