IRENE UWOYA: PARADISE SHOW YAKABIDHI NYUMBA YA KWANZA
Show ya Irene Uwoya ijulikanayo kama Paradise Show hatimaye imekamilisha ukarabati wa nyumba ya kwanza pande za Mwananyamala na kuikabidhi rasmi kwa wahusika kwa nderemo na shangwe za kutosha huku kukiwa na mashuhuda kibao wa eneo hilo.
No comments:
Post a Comment