facebook likes

Monday, September 23, 2013

DIAMOND NA NADIA INSTAGRAM UTATA MTUPU....KWELI NI MASHEMEJI


ANGALIA PICHA ZAIDI........





Jana Mambo kwenye Instagram mambo yalikuwa ni Diamond na Nadia tu picha kibao ..zao zikijadiliwa ...Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali mbali...Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji ....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?

 source: Udakuspecially

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...