facebook likes

Thursday, September 19, 2013

Hatimaye BBM application kupatikana kwenye Android na iOS weekend hii

blackberry-messenger-logoBaada ya muda hatimaye BBM itapatika weekend hii kwenye simu za Android na iOS. Upatikana ji wa BBM kwenye platform nyingine ulitangazwa mapema mwaka huu na C.E.O Thorsten. 
SOMA ZAIDI....
Kutoka kwenye vyanzo vya kampuni hiyo sasa hivi wamesema siku ya jumamosi watumiaji wote wa Android na iOS wataanza kufurahia huduma ya BBM kwenye simu zao.
bbmandroidios1_2040_large_verge_medium_landscape
Siku ambayo BBM ilitangazwa kuwepo kwenye Android na iOS

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...