facebook likes

Thursday, September 19, 2013

SHEREHE YA KUSAINI MABALOZI WA HESHIMA NCHINI MAREKANI

Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.
SOMA ZAIDI....
Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.Balozi Liberata Mulamula,  akiwahutubia Mabalozi wa heshima Heshima Siku ya Jumatano Sept 18, waliposaini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataowajibika kufanya kazi za wakiitangaza Tanzania nchini Marekani, uwekezaji wa Utalii na kuinua uchumi wa Tanzania.

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Bernard Membe akitoa hotuba ya kuwapongeza mabalozi wa hiyari wa Tanzania.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwatambulisha Waheshimiwa Mabalozi wa  hiyari ndani ya Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Washingto DC

Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Heshima Mhe.  Kjell Bergh kutoka Jimbo la Minnesota  wakiweka saini ya mkataba wa ubalozi wa heshima watakao wajibika kufanya kazi za wakiitangaza Tanzania nchini Marekani,  uwekezaji wa Utalii na kuinua uchumi wa Tanzania

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe akimkabidhi mkataba wa Ubalozi wa Heshima Mhe. Kjell Bergh kutoka Minnesota baada ya kuweka saini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataowajibika kufanya kazi za wakiitangaza Tanzania nchini Marekani,  uwekezaji wa Utalii na kuinua uchumi wa Tanzania

Mhe.Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani na Mexico akiweka saini na ballozi wa hiari Mhe. Charles Gray  kutoka Jimbo la Pennsylvania

Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membea kimkabidhi mkataba aliotia saini  Balozi wa hiyari Mhe. Charles Gray  kutoka Jimbo la Pennsylvania, baada ya kuweka saini mikataba ya kuwa rasmi Balozi wa heshima watakao wajibika kuitangaza Tanzania.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Balozi wa hiyari Mhe. Ahmed Issa kutoka Jimbo la California wakiweka saini ya mkataba wa ubalozi wa heshima .

Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe akimkabidhi mkataba wa balozi wa hiyari Mhe. Ahmed Issa baada ya kuweka saini mkataba na kuwakilishwa rasmi Mabalozi wa heshima.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Balozi wa hiyari  Mhe. Susan kutoka Jimbo la  Louisiana  wakiweka saini ya mkataba wa ubalozi wa heshima watakao wajibika kufanya kazi za wakiitangaza Tanzania nchini Marekani,  uwekezaji wa Utalii na kuinua uchumi wa Tanzania

Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe akimkabidhi mkataba Balozi wa hiyari  Mhe. Susan kutoka Jimbo la  Louisiana  baada ya kuweka saini mkataba na kuwakilishwa rasmi kuwa balozi wa heshima. ndani ya Ofisi ya ubalozib wa Tanzania uliopo Jijini Washington DC

Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mhe. Robert Samuel Shumake kutoka Jimbo la Michigan wakiweka saini ya mkataba wa ubalozi wa heshima .

Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe akimkabidhi mkataba wa Ubalizi wa heshima Mhe. Robert Samuel Shumake  baada ya kuweka saini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula na

Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe

Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe (watatu kushoto) na Mhe.Balozi Liberata Mulamula (wa tatu kulia) wakipata picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wa  hiyari ndani ya Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Washingto DC







No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...