facebook likes

Saturday, September 14, 2013

Mpya Kutoka Kwa Lil Kim

UpDate- Rapper Lil Kim ametangaza kutoka kwa cd yake mpya iliyotakiwa kutoka mwaka jana nakusema itatoka mwaka huu mwezi wa kumi. 
SOMA ZAIDI...Mixtape hio itaitwa  Hard Core 2K13 na tarehe ya kutoka ni October 31. Hili ndio cover la cd hio.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...