Kazi ipo leo: Bondia Floyd Mayweather kushoto akiwekeana mikwara na mpinzani wake, Canelo Alvarez baada ya kupima uzito jana tayari kwa pambano lao usiku wa leo mjini Las Vegas


Hapana asante: Saul 'Canelo' Alvarex aligoma kushika taji la WBC kuelekea pambano lake na Floyd Mayweather


KICHWA KWA KICHWA
Floyd Mayweather
REKODI: 44-0
UREFU: 5'8"
UZITO; Pauni 150.5
UMRI: Miaka 36
STAILI: Orthodox
MASKANI: Grand Rapids, Michigan
Saul 'Canelo' Alvarez
REKODI: 42-0-1
UREFU: 5'9"
UZITO; Pauni 152.
UMRI: Miaka 23
STAILI: Orthodox
MASKANI: Guadalajara, Mexico

Alvarez alipata uzito wa Pauni 152

Mashabiki wa Mexico tayari kumsapoti Alvarez


Mayweather amepata uzito mdogo kuliko mpinzani wake

Kabla ya pambano la leo, Mayweather mara ya mwisho alimshinda kwa kishindo Robert Guerrero

Alvarez naye alimpiga Austin Trout mapema mwaka huu, ambaye alikuwa hajapigwa kabla

Pambano lingine kali: Danny Garcia (kushoto) atapigana na Lucas Matthysse (kulia) leo pia Las Vegas.
No comments:
Post a Comment