facebook likes

Saturday, September 14, 2013

Tarehe Ya Kutoka Kwa Pirates of the Caribbean 5 'Dead Men Tell No Tales' Imesogezwa Mbele Tena

Mmoja ya Filamu inayopenda sana duniani Pirates of the Caribbean inazidi kushika headlines kwa kuwa na stori zinazovutia zaidi. Mtayarishaji wa filamu hii Jerry Bruckheimer amesema Mpaka mwaka 2015 utengenezwaji wa filamu ya 5 ya Pirates of the Caribbean 'Dead Men Tell No Tales'  utakuwa umeanza.
SOMA ZAIDI...
Pirates of The Caribbean: Dead Men Tell No Tales, inampa nafasi nyingine kwa mara ya tano mwigizaji Johnny Depp kuvaa husika wa Captain Jack Sparrow kwenye filamu hio.

Jerry Bruckheimer amezungumza na waandishi wa habari wa Hollywood na kusema script na Bajeti ya filamu hio ndio imechelewesha kazi kuanza na kwa sasa analenga kuitoa mwaka 2016.

Mwaka huu Johnny Deep amen'gara na filamu ya Lone Range iliyo ingiza dola milioni 29 kwenye wiki yake ya kwanza Marekani na dola milioni 243 kwa Dunia nzima. Filamu hii ya Lone Range imegharimu dola milioni 215 kutengenezwa. 

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...