facebook likes

Tuesday, September 3, 2013

Producer Huyu Kutoka Afrika Mashariki Aliye Ibuka Kwenye Headlines Baada Ya Kutengeneza 'Hit' Ya T.I.

 

Ile theory ya kimtaa ya 'Everything is possible under the sun' imethibitika tena baada ya hatua kubwa aliyopiga artist kutoka Kenya, na kuweza kutengeneza ngoma kali ambayo ndani yake amesimama rapper wa kimataifa T.I, pamoja na Iggy Azalea
SOMA ZAIDI NA SIKILIZA.......
Ni kutoka kundi la Longombaz ambalo Afrika Mashariki inakiri uwezo wao kimuziki, ambapo moja ya mabrodhaz wa kundi hili, Lovy Longomba ameweza kutengeneza ngoma ambayo inakwenda kwa jina 'Change Your Life' ambayo kimsingi ni ya Iggy lakini ndani yake kuna the star himself... T.I.

Kundi hili ambalo kwa muda sasa lilikuwa limehamishia makazi yake huko Los Angeles Marekani, Limeweza kupiga hatua kubwa na kutengeneza connection za kimuziki ambazo matunda yake yameendelea kuonekana kama hivi.

Sikiliza kazi yenyewe hapa;

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...