facebook likes

Tuesday, September 3, 2013

Joints Mpya Mbili Kutoka Kwa Ay Na Mwana FA Zitatengenezwa Na Huyu Producer

Binamu13.com imeripoti kuwa project mpya ya Ay na Mwana FA [ The Gladiators ] Itatengenezwa na producer mkubwa kutoka Kenya.
SOMA ZAIDI.......... Producer huyu anaitwa Eric Musyok wa Deciamal Media na anafahamika kwa kutengeneza Hits kama Biceps ya Juliani, Kadhaa ya Nonini, Juu Tu Sana ya P Unit, Furahi day ya Nonini ft Nameless, Leta Wimbo ya kundi la Sema Na Ha He Ya Just A Band. 
 
Ameshawahi kushinda tuzo ya Kisima kupitia kipengele cha Mtayarishaji Bora, Ilikuwa mwaka 2006. B na Ay Wata rekodi nyimbo mbili.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...