facebook likes

Saturday, August 17, 2013

HIZI NDIZO APPLICATIONS KUMI BORA ZINAZOTUMIKA KWENYE SMARTPHONE

HIZI NDIZO USEFULL SMARTPHONE APPLICATION ZINAZOTUMIKA  SANA DUNIANI
1.Google Maps

....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....Hizi ndizo Aplication za simu zinazotumia katika mifumo mbalimbali Duniani, ila katika simu za Smartphone zimeonekana kuwa na zikitumiwa zaidi kuliko amplication nyingine zaidi. Kampuni ya Apple imekuwa ikitoa aplication mbalimbali katika mfumo wao wa Google play store 

Hakuna ubishi kwamba Aplicationn hizi ni bora na zinarahisisha maisha kwa Watumiaji wa simu za Smartphone.

2.Facebook

3.Youtube


4.Google+

5.WeChat / Weixin


6.Twitter 


7.Skype


8.Facebook Messenger


9.WhatsApp


10.Instagram

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI PIA USISAHAU KU LIKE PAGE NA KUSHARE

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...