...SOMA ZAIDI........
kama walivyokutwa leo na kamera yetu eneo la Kijiji cha Mangae, Wilaya ya Mvomero ,barbara kuu ya Iringa - Morogoro. Licha ya gari hizo kuruhusiwa kubeba abiria baadhi ya wenye magari hayo hawazingatii kanuni za usafirishaji kwa kujaza abiria wengi kinyume na sheria.
Mlango unafungwa
Haya, safari njema...
No comments:
Post a Comment