facebook likes

Friday, August 16, 2013

WASANII WATAKAOSHAMBULIA JUKWAA LA FIESTA 2013 KIGOMA WAZURU KABURI LA ALBERT MANGWEA MKOANI MOROGORO


.....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI..
Baadhi ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva, ambao wapo safarini kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kushambulia jukwaa la Tamasha la Fiesta 2013, linalorajia kufanyika Agosti 17, kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo, wakiwa kwenye Makaburi ya Kihonda katika kaburi la Msanii mwenzao, Marehemu Albert Mangwea, leo asubuhi, nje kidogo ya mji wa Morogoro, walipofika kuzuru kaburi hilo na kumuombea dua. Mungu ailaze roho ya marehemu Mangwea, mahali pema peponi-Amen

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...