Ligi
kuu ya England inaanza wikiendi hii - huku timu kubwa baadhi zikiwa
zimejipanga vizuri hasa Chelsea,Man City, Liverpool na Spurs, lakini
Manchester United na Arsenal hawajawa active kwenye dirisha la usajili
hili.
...SOMA ZAIDI.... Man United wana afadhali kwa sababu wana kikosi chao kile kile
walichoshinda nacho ubingwa msimu uliopita. Lakini upande wa Arsenal
hali sio nzuri. Mpaka kufikia leo Ijumaa kocha wa timu hiyo Arsene
Wenger amesajili mchezaji mmoja tu tena alikuwa huru - Sanogo, huku
akiwa tayari ameuza au kutoa kwa mkopo wachezaji 17 wakiwemo mastaa kama
Gervinho, Arshavin, Santos, Djorou na wengineo.
Arsenal mpaka sasa ilikuwa imebakiwa na wachezaji 11 wale wazoefu wa kikosi cha kwanza lakini ghafla usiku wa jana ikatoka taarifa kwamba Kiungo tegemezi Mikael Arteta amepata majeruhi ambayo yatamuweka nje kwa wiki sita za mwanzo mwa msimu wa ligi, hivyo kuiacha Arsenal ikiwa na imebakia na wazoefu 10 tu ambao wanaweza wakaanza kwenye wa kwanza wa ligi dhidi ya Aston Villa.
Wenger amekuwa mtu wa kuzungumza zaidi kuliko utendaji kwenye soko la usajili na siku za dirisha la usajili zinakaribia kuisha.
Kwa hali ilivyo kama Wenger hatokuwa mjanja Arsenal wanaweza wakaanza vibaya ligi. Wenger anawaza nini? Jadili................................

WACHEZAJI WA ARSENAL WALIOBAKI WA KIKOSI CHA KWANZA
Goalkeepers: Szczesny, Fabianski.
Defenders: Mertesacker, Koscielny, Jenkinson, Gibbs, Vermaelen (majeruhi),Monreal (majeruhi), Sagna (majeruhi).
Midfielders: Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Wilshere, Ramsey (hayupo fiti), Cazorla (ametoka kusafiri kutoka ECUADOR jana), Arteta (majeruhi), Diaby (majeruhi),Frimpong*, Miyaichi (majeruhi).
Forwards: Podolski, Giroud, Walcott, Sanogo (majeruhi), Park*, Bendtner*.

No comments:
Post a Comment