facebook likes

Friday, June 28, 2013

BAADA YA DIAMOND KUKIRI KUWA ALIMKOSEA | HICHI NDICHO ALICHOSEMA JOKATE























Jokate aongea baada ya Diamond kukiri kuwa anajuta kumkosea na kuuvunja moyo wake..!!!
Akiongea jinsi alivyomuumiza Jokate,Diamond alisema 'Kwasababu alikuwa too innocent halafu hakuwahi kunikosea kitu chochote Jokate kabisa,halafu nikamwingiza kwenye matatizo,watu wakamchukulia tofauti kwamba 'Jokate kumchukua wema Boyfriend wake' wakati nilimfuata mimi kama mimi, nilimtafuta mwenyewe halafu then nikawa niko naye halafu ghafla nikarudisha mahusiano kwa wema.Sikujisikia vibaya halafu still haikuwa vizuri sometimes nikikaaga hivi nasema nilimkosea.

Kwa upande wa Jokate anasema, Watu wengi hawajui the real issue,I'm glad kama ame acknowledge I was innocent in that whole matter.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...