
Wakali wa ngoma “MUZIKI GANI” , yaani Nay Wa Mitego Na Diamond wako njiani kuachia ngoma nyingine wakiwa katika collabo … Inasadikika kuwa Platnumz na Wa Mitego wamesharekodi ngoma kadhaa ikiwemo SALAMU ZAO, UTAKULA JEURI YAKO na nyinginezo ila wanashauriana ni ipi ya kutoa …
MUZIKI GANI imefanya vizuri sana na wasanii hawa na hakutakuwa na tatizo kama wakiendeleza kazi zao kwa pamoja … Wasanii hawa wako kwenye ziara zao tofauti kimuziki lakini tuwategemee tena na ngoma nyingine kali ...…
No comments:
Post a Comment