facebook likes

Sunday, September 8, 2013

WASHIRIKI WA TUSKER PROJECT FAME MSIMU WA SITA WAWASILI DAR KWA USAILI.


Baadhi ya washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita wakijaza fomu maalumu kabla ya kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam mapema hii leo.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

 Meneja wa bia ya Tusker Sialouise Shayo(katikati)katika picha ya pamoja na washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita, mara baada ya kutembelea kiwandani hapo hii leo.
Mpishi mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Cliff Chilipachi akitoa maelezo kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita  walitembelea kiwandani hapo leo mchana.
 Packaging Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Praygod Minja akitoa maelezo kuhusu namna ya upakiaji wa bia ya Tusker kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita walitembelea kiwandani hapo leo mchana

Packaging Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Praygod Minja katika picha ya pamoja na wageni mara baada ya kumaliza ziara yao katika kitengo cha uzalishaji.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...