Mshindi
wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa
picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia
katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 29.
ANGALIA PICHA ZAIDI.....Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika Hoteli ya Snow View Arusha na kuwashirikisha warembo 30.

Warembo
walipo jinadi kwa pozi kali na miondoko ya kufa mtu katika kuwania taji
hilo la Redd's Miss Tanzania Top Model 2013 ndani ya Snow View Hotel
Arusha.
Emma Mroso kutoka JAZZ Collection ya jijini Arusha akipozi na warembo waliovaa mavazi kutoka kampuni hiyo.
Wadau mbalimbali wakifuatilia shindano hilo.
No comments:
Post a Comment