
Ni mazoea kuwaona Waswahili wengi kila siku wanazidi kujiandikisha kwenye vyuo vinavyofundisha lugha ya kiingereza, ili kuendana na dunia ya sasa ni muhimu kujua lugha mbalimbali lakini kwa kuanzia Kiingereza ndio kinaongoza.
Pamoja na kwamba Waswahili wanajifunza Kiingereza kwa bidii, kuna Wazungu pia wanajifunza Kiswahili kwa bidii kama wanavyoonekana kwenye hizi video tatu wakiwa kwenye chuo cha Indiana Marekani chini ya mwalimu anaitwa Ally Malaptop.
No comments:
Post a Comment