facebook likes

Monday, July 22, 2013

Angalia list na picha za watu maarufu waliobadilika sana mwezi huu wa Ramadhan.



Mwezi wa Ramadhan waumini wengi wa dini ya kiislaamu wanashauriwa kubadilisha mwenedo wa maisha yao na angalau kuutumia mwezi huu kutenda mambo mema. Sasa nakupa list na picha za watu maarufu ambao wamebadilika kabisa hasa kwenye upande wa mavazi. Angalia muonekano wa watu hawa zamani na sasa mwezi wa Ramadhan. ni kitu kizuri kuheshimu mambo ya dini kama hawa walivyofany. Lakini haya mabadiliko ni makubwa sana. Picha moja inamuonyesha star huyu akiwa na muonekano wake wa siku zote na nyingine jinsi alivyo hivi sasa mwezi wa Ramadhan


1
Diamond Platinumz lakini mwezi huu atapenda ukimwita Naseeb
2
Wema Sepetu
3
Shilole
4
Lulu
5
Omari Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz
6
Shetta
7
Romie Jones
8
Jina lake ni Jeniffer Kyaka maarufu kama Odama kwenye Bongomovie
9
Kutoka Bongomovie anaitwa Batuli
10
Nagris Mohamed
11
Kutoka THT anajulikana kama Recho

source:millardayo

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...