facebook likes

Thursday, February 28, 2013

UNAFAHAMU KUHUSU NAFASI YA TANZANIA NDANI YA LONDON FASHION WEEK 2013? USHAHIDI UKO HAPA

Ni ahadi ya moyo wangu siku zote kutoa support ya kutosha popote nitakapoona kunahitajika kufanya hivyo, support yangu leo naitoa kwa kuzitangaza hizi dakika 12 za video ya London Fashion Week ambapo mwaka huu Tanzania imekua miongoni mwa nchi mbili za Afrika zilizopata nafasi kwa wabunifu wake kuonyesha uwezo, mtiririko mwingine upo hapa chini kwenye video..

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...