facebook likes

Thursday, February 28, 2013

ULIWAHI KUWAZA ITAKUAJE KENDRICK LAMAR NA DRAKE KUSIKIKA KWENYE SINGLE MOJA, KUTANA NAO HAPA KWENYE HII VIDEO YAO MPYA. #HIPHOP

Unaambiwa hii single ya Kendrick na Drake ni sample ya single ya Janet Jackson ambayo ilikua hit miaka ya 90 “Any Time, Any Place” na Kendrick alitamani sana Janet awepo kwenye video lakini ikashindikana.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...