facebook likes

Thursday, February 28, 2013

MTOTO WA AJABU AZALIWA MWANZA, ANA MIGUU MINNE NA MIKONO MINNE

Mtoto mmoja wa ajabu amezaliwa mkoani Mwanza akiwa na mikono minne na miguu minne hali iliyowashangaza wakazi wengi wa jiji hilo



Hata hivyo kwa mujibu wa mwandishi wa habari Amikus Bwitunga mtoto huyo amefariki dunia muda mchache baada ya kuzaliwa



Msikilize akisimulia mkasa huo kwa kubofya hapo chini

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...