facebook likes

Sunday, February 10, 2013

RIPOTI YA MATUMIZI YA SERIKALI YATUA MIKONONI MWA SPIKA

Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini kwake Bungeni leo
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa amekabidhiwa ripoti hiyo
 Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Spika wa  Bunge  Anne Makinda ripoti yao. Kamati hiyo iliundwa na Mheshimiwa Spika kwa lengo ka kuaandaa Mapendekezo ya kuishauri serikali kuhusu kuainisha vyanzo mbalimbali vya Mapato ndani ya serikali yaliyo ya kodi na yasiyo ya kodi
 Spika wa  Bunge  Anne Makinda akiwapongeza wajumbe wa kamati amati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato mara baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hiyo ambayo ataiwasilisha serikalini.
Picha na Owen Mwandumbya-Bunge

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...